Welcome to the Centre of Excellence

IDARA YA KISWAHILI

Ninachukuafursa hiil kumshukuru mungu kwa umbali ambao ametufikisha. Kwa miaka mitatno mtawaliwa ametuwezesha kuimarisha matokeo ya somo hili la Kiswahili hadi mwaka huu ambapo alitupa wasani ya 9.4. ni matarjia yetu kwamba mwaka ujao kulingana na bidii na mikakati tuliyoweka, mola atatubariki tena kwa sababu ndiye tunayemtegemea.

Kama mkuu wa idara, ninawashukuru  wanaidara wote ikiwemo bw. Benson Ochieng, Bw Nyamwanda Jacktone, B w Felix Olum, Bw .Wycliffe Olang, Bi Elizabeth Kageha, Bi. Veronica odhiambo, Bw .Ngugi Peterson, Bw Job odhiambo, Bw.Samuel ogingo, Bw. Glance Omollo na Bw. Peter Gichuru kwa kazi kuntu. Mmtia bidii ya mchwa kuhakikisha kufaulu  kwa idara hii ya Kiswahili bila kuchoka ili kuhakikisha kwamba somo hili linapaa angani kila matokeo ya mitihani inapotangazwa. Maulena awajalie sana kwa kazi zote za mikono yenu. Asanteni sana.

 

Bwana Opana Moses

MKUU WA IDARA YA KISWAHILI

 


No one added yet

For more information contact +254729498663